Chifu alitaka kujua idadi ya makahaba kwenye kijiji chake. Makahaba walipokuwa kwenye foleni bibi kizee mmoja akapita na kumuona mjukuu wake yumo katika foleni. Bibi akauliza
'hapa kuna nini mjukuu wangu?'
Mjukuu akamjibu;
'Chifu anagawa maembe'
Kwa uchu wa roho ya tamaa, bibi akaunga foleni. Chifu katika kupita kwenye foleni akamuona bibi akamuuliza 'Na wewe bibi upo huku?'
Bibi akajibu 'Tena mimi ni stadi wa kunyonya na kuramba mpaka kokwa'
"Dunia imekwisha"
No comments:
Post a Comment