Mlevi kafika kwake kalewa njwiii, akawa anapata tabu kuingiza funguo kwenye kitasa mlangoni ili afungue mlango. Jirani akamuuliza:
"Unataka msaada, naona una tatizo kidogo..."
Jamaa akajibu,
"Nataka msaada tena sana jirani yangu, hebu shikilia hii nyumba nifungue mlango maana kila nikitaka kuingiza funguo kwenye kitasa nyumba inacheza..."
No comments:
Post a Comment