Wednesday, July 4, 2012

MAPENZI YA SIKU HIZI

Simu iliita:
Mume: Hello baby!
Mke: Hello swt!
Mume: Nitachelewa kurudi leo.
Mke: Nilishajua uko kwa vijanamke vyako, wewe ni malaya sn, sijui ilikuaje nilikukubali! Nakuchukia km nini, sikupendi sikupendi!
Mume: Niko Bank hapa......
Mke: Haaaaa! Ulijuaje km sina hela, nitolee laki moja nadaiwa baby, nakupenda sana kuliko roho yangu, nakutekea maji ya kuoga swity wangu. Usisahau hizo pes, ninunulie na chips kuku....mwaaaaaaa!
Mume: ....ni BANK YA KUCHANGIA DAMU!
Mke: nyoooooooooooooooooooooooo!

No comments:

Post a Comment