HAKIMU: Bibi, hebu ieleze mahakama kilichotokea.
BIBI: Nilikuwa nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane,mlango unavunjwa na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.
HAKIMU: Endelea, Bibi.
BIBI: Si, akanivua nguo zote na kunipanda.
HAKIMU: Enhee!
BIBI: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani mimi siyawezi!
HAKIMU: Enhee!
BIBI: Kila akikata, na mimi najibu! akikata na mimi nimo,hadi raha
HAKIMU: Haaa!sasa tatizo lililokuleta hapa mahakamani ni nini?
BIBI: Atengeneze ule mlango aliouvunja
No comments:
Post a Comment