mwalimu mmoja alikuwa akifundisha wanafunzi maadili...akauliza;mfano umemtoa msichana outing siku ya kwanza ukampeleka mgahawani kwa ajili ya chakula cha usiku.ukataka kwenda kukojoa utamwambiaje?...
juma akasimama na kusema;ntamwambia,'dia,naenda chooni mara moja.....mwalim akajibu;sio vizur kusema neno chooni wakat wa mlo......
mike akasimama na kusema;nitamwambia dia,nsubir mara moja naenda kukojoa....mwalimu akasema;angalau,lakin kukojoa haipendez sana mkiwa mezani.....
mwisho john akasimama na kusema;nitamwambia samahani dia, naomba unisubiri mara moja naenda kupeana mkono na rafiki yangu ambaye ninamini utakutana naye baada ya mlo....
No comments:
Post a Comment