Hii ni baadhi ya misemo ilyoandkwa kwenye magari espcl daladala...ongezea wowte unaoukmbka.. 1.Super market hawauzi mkaa.. 2.kama mapenz ni pesa kafunge ndoa na benki..3.Usiku wa deni haukawii kucha..4.nyuki hakumbatiwi..5.Ukisinzia tunakusachi... 6.imekushinda penati utaweza kona..7Vinyago nivichonge mwenyewe halafu vinitishe?!!
..8.Wamekataa kona wanakubali penati..9.We nisubiri mi nakungoja. 10..Shimo la panya halizibwi kwa mkate
No comments:
Post a Comment