BAADA YA MAUBILI mchungaji aliwaambia waumini wafunge macho ili waombe, basi akainama akachota pesa kwenye kapu kukusanya sadaka (kaiba pesa). Kuinua macho akakutana na mzee aliyekuwa anaingia kanisani. Mchungaji akasema hivi "HERI YAKE YULE ASIYESEMA YALE ALIYOSHUUDIA KWA MACHO YAKE YOTE" na mzee akamalizia akisema " UJUE ATAPATA MGAO WAKE WOTE BAADA YA MISA KUISHA".
No comments:
Post a Comment