Wednesday, September 19, 2012

Mke. wa kamikaze alikuwa anafuga paka na jason alikuwa anamchukia sana yule paka. Siku moja akaamua kwenda mtupa mbali, akamchukua na gari kilomita 1, akamuacha paka hapo kurudi home. Alipokua anakaribia kwake akamuona paka naye anaingia ndani.. akashangaa kweli..akauchuna.
Siku iliyofuata akamchukua paka na kumpeleka mbali zaidi kilomita 5 kutoka nyumani kwake.. akumtupa hapo na kurudi nyumbani.... alipokaribia nyumbani kwake akamuona tena paka naye amerudi anaingia ndani... akasema moyoni kesho utanitambua!!
kesho yake akaamka na kumchukua paka akaenda mbali zaidi kilomita 50 akakata kushoto akakata kulia akanyoosha tena kushoto kulia akazunguka saaaana!... kisha akamtupa paka, akaanza safari ya kurudi home... baada ya muda akapiga simu kwa mke wake nyumbani.
Jamaa: "Mke wangu vipi.... huyo paka yupo apo?"
Mke: "Ndio mume wangu yupo katulia tu, vipi imekuaje?"
Jamaa: "Hebu mpe simu anielekeze njia ya kurudi nyumbani... maana mi nimepotea."

KIINGEREZA BWANa.........

Mke na mume walikuwa wakiulizana chumbani kwao baada ya kusikia vigeregere kwa jirani,na mazungumzo yao yalikuwa hivi:-
MKE: kuna nini kwa jirani?
MME: kuna birthday
MKE: ya nani?
MME: itakuwa ya TUYU
MKE: tuyu ndio nani?
MME: sijui ndio nani nimesikia wanaimba "HAPPY BIRTHDAY TO YOU

Translator wuuuuh

Jamaa flani baada ya kuchoma
bangi zake,akatoka na kuenda
kuingia duka la muuza nyama.
Mara kukaingia paka,akaanza
kulia....Miaaao w! Miaaaow!
Jamaa akamwambia muuza
nyama,"Huyu paka anataka robo
kilo ya maini."
Paka akapewa,akaila yote kisha
akaanza tena kulia,Miaaaow!
Miaaaow..miaaow !
Jamaa akamwambia muuza
nyama tena,"Sasa anataka robo
kilo ya nyama.
Paka akapewa akaila yote,kisha
akatoka akaenda zake.
Mwenye duka akamwambia
mvuta bangi,"Haya lipa robo kilo
ya maini na robo kilo ya nyama."
Mvuta bangi akajibu,"Mie
yananihusu nini? Nilikuwa na
TRANSLATE tu!!"

MAJINA YA MENGIne

Mgombea alienda ktk kampeni za uchaguzi kwenye kijiji cha SENGE mkoani Ruvuma.
Salam ikawa hivi;
Mwenyekiti na Katibu wa Senge ; Ndg Wanachi wa Senge , Vijana, Wazee na Watoto wa Senge , Mabibi na Mabwana wa Senge..
Habari zenu
Watu kimyaaa..
Akaendelea ,
" Wasenge Oyeee...!!'.
Wananchi, 'Mwenyeweee

MISEMO VYOO VYA USWAZI HUKO MOMBASA RAHAA...

MISEMO VYOO VYA USWAZI HUKO MOMBASA RAHAA...
1.Unakunjia nani sura,kwani ni mimi
nilikuambia ule magimbi bila chai?

2.Due 2 grenade threats,naomba
ukunye pole
pole.

3.Unafunga mlango unafikiri watu
wataiba
mavi yako?

4.Ungekuwa unang'ang'ana hivyo kwa
masomo kama unavyong'ang'ania kutoa mavi yako,si ungekuwa mbali?

5.Wakati watu wanatafuta pesa,wewe unakunya tu.

6.usikunye kama hujui utakulala nini
badae

7.lenga shimo jamaa halafu na ushute(kijambo) polepole

8.kama tungeweka mirror hapa
ungechukia face expression yako..

9.do you know u r so ugly ukipush"

Duh Jamaa naye

Jamaa alimuliza Mpenz wake.
Jamaa: Mimi na Choo Bora nan?
Demu: Bora Wew.
Jamaa: Sio kwel, mbona Ukienda choon unavua Chupi mbio mbio lakin ukija kwangu Mpaka nikubembeleze?
Demu: Mh!