Friday, August 3, 2012

Stupid Questions Well Answered

MRD: Stupid Questions Well Answered:
Q: Umenyoa nywele?
A: Hapana, nimebadilisha kichwa.
Q: Hiyo simu umenunua?
A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe.
Q: Utakula mboga na nini? A: Mdomo
(A midnight call)
Q: Nimekuamsha?
A: Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.
Q: Gazeti la leo linasemaje?
A: Sijaongea nalo. Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?
A: Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.
Q: Hiyo ni accident?
A: Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down.
Q: Umepause movie?
A: Hapana wamechoka kuact wanarest.

No comments:

Post a Comment