Friday, August 3, 2012

MTUMISHI NDO MAMBO GANI HAYO

Mtumishi mmoja wa kanisa alikwenda kulala na dada wa kanisa chini ya mti... Juu ya huo mti alikuwepo mvuta bangi akivuta bangi... Mara baada ya kumaliza mambo yao yule dada akamuuliza mtumishi hivi uli2mia condom...
Mtumishi: hapana!
Dada: sasa unadhani nkipata mimba itakuwaje kwa kanisa na 2tafanyaje...
Mtumishi: mwachie aliejuu bwana, achana na hayo mambo!
Mvuta bangi: akadondoka chini na kusema, nyie mnaakili kweli mumwachie nani wakati mmefanya nyie nawaona hapo...
Mtumishi na yule dada wakazimia

No comments:

Post a Comment