DOGO; broo saa ngapi?
BOUNCER; saa nane na nusu
D0GO: poa ikifika saa tisa kamili nistue nitakushika tako
BOUNCER: unasemaje dogo...yule Bouncer akaanza kumkimbiza dogo,,,kufika mtaa wa pili dogo akaingia nyumba moja hiv kuna mzee amekaa nje anapunga upepo....yule Bouncer kwa hasira akamwambia yule mzee'''babu naomba umtoe huyo dogo kabla cjaingia kumtoa roho'''
MZEE akamuuliza Bouncer'''kwani amefanya nin mpaka umkimbize ivo.'''
BOUNCER: huyu dogo kaniuliza saa nikamwambia saa nane akaniambia ikifika saa tisa nimstue atanishika tako,,
Mzee akaangalia saa kisha akamwabia bouncer ''wasiwasi wako wa nin mbona saa tisa bado''''
No comments:
Post a Comment